I believe it has to do with your traction control sensors and that one of the sensors may be faulty
Gari langu lilikuwa na tatizo la kutokuwaka. Siku moja kabla ya tatizo kutokea nilipita katika dimbwi la maji mengi yaliyosababishwa na mvua na kupaki gari nyumbani. Siku iliyofuata niliamka asubuhi ili niwahi kazini lakini kila nikijaribu kuwasha gari liligoma kuwaka.
1. Niliangalia battery ilikuwa safi,
2. Niliangalia mfumo wa mafuta kutoka kwenye tanki hadi kwenye ingine ulikuwa safi.
3. Niliangalia plug zote lakini ikaonekana plug ni nzima lakini hazipati taarifa/umeme haufiki.
4.Nikaamua kutafuta memory disc tuone kama iko salama. tulichomoa nyaya zake na kuzirudishia baada ya dakika tano.
5. Matokeo yake gari liliwaka lakini tatizo jingine lilijitokeza la alama ya ingini na air bag. zinaonekana katika dash board.
2,355 views
Usually answered in minutes!
×